MERCK FOUNDATION katika ushirikiano ya miradi ya afya na Serikali ya Tanzania

image

Merck Foundation yaahidi kujenga mikakati ya afya na kuboresha upatikanaji wa ubunifu na usawa ufumbuzi huduma za afya nchini Tanzania


H.E. Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan (right) and Dr Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation (left)
 

Nimefurahi kukutana na wewe leo katika Mazungumzo yetu na makamu wa Rais, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ufuatao ni muhtasari wa yele ambayo Dr. Rasha Kelej amezungumza na meheshimiwa makamu wa Rais.
Katika mazungumzo yao, Mheshimiwa makamu wa Rais, Dr. Samia Suluhu Hassan na Dr. Rasha Kelej(CEO wa Merck Foundation), Dr Rasha Kelej amemuhakikishia mheshimiwa makamu wa Rais kuwa, Merck Foundation wamejitolea kuisaidia serikali ya Tanzania katika jitihada zake za kuboresha sekta ya afya kwa Tanzania bara na visiwani kupitia mpango wa Corporate Social responsibility kwa Africa (CSR for Africa).
 
Merck foundation itajikita Zaidi katika kugaramia mafunzo kwa wataalamu wa afya kwenye maeneo ya saratani kwa watoto (paediatric oncology) matibabu ya saratani kwa upasuaji (surgical oncology) matibabu ya saratani kwa utabibu (medical oncology). Mafunzo kwa wataalamu hawa yatatolewa kwa muda wa mwaka mmoija hadi mitatu katika mataifa ya india, ulaya, india na Kenya. Lengo kuu hasa kwa mafunzo haya ya wataalamu wa afya ni kuboresha upatikanaji wa huduma zote zinahusu saratani.
 
Vilevile Merck Foundation wamemuhakikishia makamu wa Rais kuwa watajikita katika kuwajengea uwezo akina mama wenye matatizo ya ugumba kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi zinazohusia na matatizo ya ugumba. Hii itasaidia kubadilisha mtazamo ambao umejengeka kwenye jamii kuhusu masuala ya ugumba kwa akina mama. Ajenda hii itasimamiwa kupitia program ya” MERCK MORE THAN A MOTHER”From left to right: Ms. Maulidah Hassan, Assistant to the Vice President of the UnitedRepublic of Tanzania; Dr Nicholaus Stephen Mazuguni, MD, MMED(O&G) Embryology Training Alumni; Mr Leonard Saika, Program Director Merck Foundation; Dr Rasha Kelej ,CEO Merck Foundation and H.E. Dr Samia Suluhu Hassan, Vice President of the United Republic of Tanzania.

“Tatizo la ugumba kwa wanandoa barani Africa ni kubwa. Inakadiriwa kwamba katika kila ndoa nne moja inasumbuliwa na changamoto ya ugumba, na karibu asilimia 85 ya ugumba inasababishwa na ukosefu wa matibabu kwa magonjwa ambayo yanaweza kutibika. “Hivyo basi kama jamii itapata taarifa sahihi kuhusu nafasi ya mwanaume na mwanamke kwenye matatizo ya ugumba kwa kupiti vyombo vya habari, basi ni Dhahiri tutapata uelewa mkubwa”, alisema Dr Rasha Kelej’’


Dr Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation (right); H.E. Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan (left)

“Changamoto ya ugumba inaweza kusababishwa na mwanaume au mwanamke lakini mara nyingi ni wanawake wanaolaumiwa, kuteswa na kunyanyaswa na jamii kwa sababu ya ugumba. Kampeni hii itawasaidia wanaume kuzungmza kwa uwazi na wake zao kuhusu safari nzima ya matibabu yao ya ugumba’’, aliongeza Dr Kelej.
 
Aidha, mheshimiwa Makamu wa Rais, Dr Samia Suluhu Hassan aliwapongeza Merck Foundation kwa juhudi zao kwenye sekta ya afya Africa na amewakalibisha kwa mikono miwili nchini Tanzania. Dr Samia Hassan alisema “Serikali ya Tanzania inawakaribisha Merck Foundation Tanzania na serikali yetu inafurahi na iko tayari kushirikiana na Merck makamu wa raisi.”From left to right: Mr Leonard Saika, Program Director Merck Foundation; Dr Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation and H.E. Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan

Kufahamu zaidi kuhusu Merck Foundation tafadhali soma www.merck-foundation.com and www.merckmorethanamother.com

One Click on icon below to
Download Merck Foundation App


Join the conversation on our social media platforms below and let your voice be heard

 Merck Foundation

 Merck Foundation

 Merck Foundation

 @MerckFoundation

 Merck Foundation

About Merck Foundation

The Merck Foundation, established in 2017, is the philanthropic arm of Merck KGaA Germany, aims to improve the health and wellbeing of people and advance their lives through science and technology. Our efforts are primarily focused on improving access to quality & equitable healthcare solutions in underserved communities, building healthcare and scientific research capacity and empowering people in STEM (Science, Technology, Engineering, and Mathematics) with a special focus on women and youth. All Merck Foundation press releases are distributed by e-mail at the same time they become available on the Merck Foundation Website.  Please visit www.merck-foundation.com to read more. To know more, reach out to our social media: Merck Foundation; Facebook, Twitter, Instagram, YouTube and Flicker.

About Merck

Merck is a leading science and technology company in healthcare, life science and performance materials. Almost 52,000 employees work to further develop technologies that improve and enhance life – from biopharmaceutical therapies to treat cancer or multiple sclerosis, cutting-edge systems for scientific research and production, to liquid crystals for smartphones and LCD televisions.

Founded in 1668, Merck is the world's oldest pharmaceutical and chemical company. The founding family remains the majority owner of the publicly listed corporate group. Merck holds the global rights to the Merck name and brand. The only exceptions are the United States and Canada, where the company operates as EMD Serono, MilliporeSigma.